There's Got to Be a Way

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“There's Got to Be a Way”
“There's Got to Be a Way” cover
Single ya Mariah Carey
kutoka katika albamu ya Mariah Carey
B-side "I Don't Wanna Cry"
"Vision of Love"
Imetolewa 6 Mei 1991
Muundo CD single, cassette single, 7" single, 12" single
Imerekodiwa 1990
Aina Pop, R&B
Urefu 4:53
Studio Columbia
Mtunzi Mariah Carey, Ric Wake
Mtayarishaji Ric Wake
Mwenendo wa single za Mariah Carey
"I Don't Wanna Cry"
(1991)
"There's Got to Be a Way"
(1991)

"There's Got to Be a Way" ni wimbo ulioandaliwa na mwimbaji Mariah Carey akishirikiana na Ric Wake na kutayarishwa na Wake kwa ajili ya albamu ya Mariah yenye jina lake mwenyewe ya Mariah Carey iliyotoka mwaka 1990. Wimbo huu ulitoka kama single ya tano na ya mwisho kutoka katika albamu hii, iliyotoka mwishoni mwa mwaka 1991 nchini Marekani na masoko mengine ya barani Ulaya. Ili kundlea kushikilia rekodi ya kufikisha nyimbo katika nafasi ya kwanza mfululizo, wimbo wa There Got to Be a Way haukutoka nchini Marekani. Wimbo huu haukutangazwa sana nchini humo, badala yake ulitolewa wimbo wa I Dont Wanna Cry ambao haukufanikiwa kuingia katika nyimbo arobaini bora kitu ambacho nyimbo zake tatu zilizotangulia zilifanikiwa kuingia. Ulifanikiwa kufika katika nafasi ya 54 na hivyo kufanikiwa kuingia katika nyimbo sabini na tano bora.

Video ya wimbo[hariri | hariri chanzo]

Video ya single hii iliongozwa na Larry Jordan, ikimwonesha Carey akitembea barabarani huku akilalamikia watu maskini na subaguzi.Baadae anaonekana kuunganika na marafiki wengine wanakuwa umati wa watu

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

CD single #1

  1. "There's Got to Be a Way" (album version)
  2. "There's Got to Be a Way" (7" remix)

CD single #2

  1. "There's Got to Be a Way" (album version)
  2. "I Don't Wanna Cry"

CD maxi-single #1

  1. "There's Got to Be a Way" (album version)
  2. "There's Got to Be a Way" (12" remix)
  3. "There's Got to Be a Way" (alt. vocal club mix)

CD maxi-single #2

  1. "There's Got to Be a Way" (album version)
  2. "I Don't Wanna Cry"
  3. "There's Got to Be a Way" (12" remix)

UK CD maxi-single

  1. "There's Got to Be a Way" (album version)
  2. "There's Got to Be a Way" (7" remix)
  3. "Someday" (7" jackswing mix)
  4. "Vision of Love"

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1991) Ilipata
Nafasi
UK Singles Chart[1] 54

Marejeo[hariri | hariri chanzo]