Thank God I Found You

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Thank God I Found You”
“Thank God I Found You” cover
Single ya Mariah Carey akiwamshirikisha Joe na 98 Degrees
kutoka katika albamu ya Rainbow
Imetolewa 1 Novemba 1999
Muundo CD single, cassette single, 7" single, 12" single
Imerekodiwa 1999
Aina R&B
Urefu 4:17
Studio Columbia Records
Mtunzi Mariah Carey, Jimmy Jam and Terry Lewis
Mtayarishaji Mariah Carey, Jimmy Jam, Terry Lewis
Certification Gold (U.S.)
Mwenendo wa singles za Mariah Carey
"Heartbreaker"
(1999)
"Thank God I Found You"
(2000)
"Crybaby"/"Can't Take That Away (Mariah's Theme)"
(2000)
Mwenendo wa singles za Joe
"Still Not a Player"
(1998)
"Thank God I Found You"
(2000)
Mwenendo wa singles za 98 Degrees
"This Gift"
(1999)
"Thank God I Found You"
(2000)
"Give Me Just One Night (Una Noche)"
(2000)

"Thank God I Found You" ni wimbo uliandikwa na mwanamuziki wa Marekani Mariah Carey akishirikiana na Jimmy Jam na Terry Lewis kwa jili ya albamu ya Carey ya sita, iliyojulikana kama Rainbow, ambayo imeotoka mwaka 1999. Katika albamu hii, inawajumuisha wanamuziki kama vile Joe na kundi la wavulana la 98 Degrees na ilihamasishwa na mpenzi wa Carey wa kipindi kile ailiyeitwa Luis Miguel. Baada ya wimbo huu, ndipo matatizo ya mahusiano katika yake na mpenzi wakeyalipoanza.Wimbo huu ulitoka kama single ya pili kutoka katika albamu yao iliyotoka mwaka 2000, na kufika katika nafasi ya kwanza nchini Marekani, lakini ulikuwa na mafanikio ya wastani katika nchi nyingine.

Mapokeo[hariri | hariri chanzo]

"Thank God I Found You" ulifika katika nafasi ya kwanza nchini Marekani katika chati ya Billboard Hot 100 na Hot R&B/Hip-Hop Songs na kumfanya Carey kuwa na rekodi ya kuwa na nyimbo kumi na moja mfululizo kufika katika nafasi ya kwanza mfululizo kuanzia mwaka 1990, tangu kipindi cha wimbo wake wa Vision of Love hadi mwaka 2000.Pia wimbo huu ulikuwa wimbo wa sabini wa R&B kuahi kufika katika nafasi ya kwanza katika chati za muziki. Ulikaa kwa kipindi cha juma moja katik nafasi ya kwanza na baadae kutolewa na wimbo wa "I Knew I Loved You"ulioimbwa na Savage Garden. Shirika la Kurekodi Nyimbo la Marekani la RIAA mwezi Februari mwaka 2000, liliutangaza wimbo huu kuwa na medani ya dhahabu. Wimbo huu ndio ulikuwa wimbo wa mwisho kutoka kwa Carey kufika katika nafasi ya kwanza nchini Marekani, hadi wimbo wa We Belong Together wa mwaka 2005,

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

U.S. CD Single

  1. "Thank God I Found You" - 4:18
  2. "Thank God I Found You" (Celebratory Mix) - 4:17

U.S. Maxi Single

  1. "Thank God I Found You" (Make it Last Remix Edit feat. Nas) - 5:08
  2. "Thank God I Found You" (Make it Last Remix w/o Rap) - 4:40
  3. "Thank God I Found You" - 4:18
  4. "Babydoll" (Album Version) - 5:06

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati(2000) Ilipata
nafasi
Australian Singles Chart[1] 27
Belgian Flandres Singles Chart[2] 36
Belgian Wallonia Singles Chart[3] 23
Canadian Singles Chart[4] 2
Dutch Singles Chart[5] 23
French Singles Chart[6] 28
German Singles Chart[7] 28
Irish Singles Chart[8] 31
New Zealand Singles Chart[9] 34
Norwegian Singles Chart[10] 43
Spanish Singles Chart[11] 6
Swedish Singles Chart[12] 43
Swiss Singles Chart[13] 17
UK Singles Chart[14] 10
U.S. Billboard Hot 100[15] 1
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[16] 1

Mauzo[hariri | hariri chanzo]

Wasambazaji Mauzo Certification
United States 500,000+ Gold

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]