Lugha ya Bukusu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Jina la lugha
Inazungumzwa nchini
Ukanda
Jumla ya wazungumzaji
Familia ya lugha {{
  1. switch:Niger-Congo
Afro-asiatic | yellow = Afro-Asiatic orange = Niger-Congo gold = Nilo-Saharan goldenrod = Khoisan lawngreen = Indo-European lightgreen = Caucasian yellowgreen = Altaic limegreen = Uralic mediumspringgreen = Dravidian Paleo-Siberian | Paleo-siberian | Palaeosiberian | Palaeo-Siberian | Palaeo-siberian = Paleosiberian pink = Austronesian Austro-asiatic | Austroasiatic | lightcoral = Austro-Asiatic tomato = Sino-Tibetan Hmong-Mien = Hmong-Mien orchid = Australian violet = Papuan lavender = Tai-Kadai lightblue = American Na-Dené | deepskyblue = Na-Dené Dené-Yeniseian | deepskyblue = Dené-Yeniseian lightcyan = Eskimo-Aleut creole = Creole pidgin = Pidgin mixed = Mixed isolate | language isolate | #dddddd = language isolate sign | sign language | silver = sign language conlang | constructed language | black = constructed language default | white = —

}}

Misimbo ya lugha
ISO 639-1 None
ISO 639-2
ISO 639-3 bxk

Bukusu(Jina la asili: Lubukusu) ni lugha ya Kibantu inayozungumzwa na watu Wabukusu wapatikanao Magharibi mwa Kenya. Ni moja kati ya Lugha tatu zinazohusiana na watu wa Luhya. Hata hivyo, inahusiana zaidi na lugha za Gisu na Masaaba za Uganda Mashariki, na lugha hizo zote zinaweza kuelewana.

==Lahaja== Lugha hii ina Lahaja tatu muhimu:

  • Lahaja inayozungumzwa Magharibi mwa mji wa Webuye, huku aina yake safi kabisa ikisikika katika maeneo yazungukayo, na magharibi mwa Bungoma
Kati ya hizi, lugha inayozungumzwa karibu na Kitale inachukuliwa kuwa ya asili zaidi. Hii ni kwa kuwa lahaja hizo zingine mbili zimeingiliwa na ushawishi wa lahaja zingine za Kiluhya.

Yaliyomo

Ushawishi wa Lugha zingine [hariri]

Wabukusu wanaishi katika Wilaya ya Bungoma ambayo inapakana na Uganda kuelekea Magharibi na Wilaya ya Kakamega ya Kenya kuelekea Mashariki.

Katika mpaka wa Uganda, wanaishi BaMasaaba na BaGisu, ambao wanahusiana na Bukusu kupitia Lugha moja na Utamaduni unaofanana.[1]

Kuoana kati ya Bukusu na jamii hizi ni jambo linaloungwa mkono na jamii zote.

Matokeo ni kuwa Wabukusu wana jamaa wa karibu katika jamii hizi, na jamii hizi pia zina jamaa kati ya Wabukusu.

Wakati wa Vita vya Uganda miaka ya 1970, wengi wa BaGisu na BaMasaaba walitoroka Uganda na kuhamia Kenya ili kuishi na jamaa zao wa Bukusu karibu na Bungoma. Vita vilipoisha wengi wao hawakurudi Uganda.

Kuenea kwao kati ya Bukusu kumekuwa na ushawishi mkubwa kwa Lugha ya Bukusu katika maeneo ya Bungoma. Wazungumzaji wa asili wa Bukusu wanaweza kutambua mtu kutoka eneo la Bungoma kutokana na lugha yake.

Kwa mfano wanatumia L badala ya R, na hivyo kitenzi 'khuufwara'- kuvaa nguo sasa linatamkwa 'khufwaala' jinsi linavyotamkwa na BaGisu na BaMasaaba.

Lahaja inayotumiwa mashariki mwa mji wa Webuye ina ushawishi wa lahaja jirani, Kabras na Tachoni za Lugha za kiluhya. hili linaonekana katika kubadilisha mwanzo wa nomino. Kwa mfano, nomino 'sisindu' (Kitu fulani) inatamkwa 'eshindu' katika Kabras. Wabukusu wa Webuye huiita 'esindu'.

Kwa vile wanapakana na Waniloti na lugha za Kikalenjin za Pokot, Nandi na Sebei kuelekea kaskazini, mashariki na Magharibi, Lugha ya Bukusu ya Kitale imehifadhi kwa ukubwa uasili wake. Ni tofauti kabisa na lahaja zingine zilizozungumziwa awali.

Tazama Pia [hariri]

Lugha za Kiluhya WaGisu WaMasaaba

Kumbukumbu [hariri]

  • De Blois, Kornelis Frans (1975) 'Bukusu generative phonology and aspects of Bantu structure' (Annales de MRAC, no. 85). Tervuren: Musщe Royal de l'Afrique Centrale.

Virejeleo [hariri]

  1. Jamii za Kenya:www.abeingo.org

Viungo vya Nje [hariri]