Waniloti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wanaume wa Kiniloti wakisherehekea makubaliano ya amani huko Kapoeta, Sudan Kusini.
Rais Mniloti (Mdinka) John Garang wa Sudan Kusini kati ya wafuasi wake.
Mniloti Lornah Kiplagat, mmojawapo kati ya mabingwa wa mbio za masafa marefu.

Waniloti ni watu wenye asili ya bonde la mto Nile[1] ambao wanatumia lugha za Kiniloti, kama vile Wajaluo, Wasara, Wamasai, Wakalenjin, Wadinka, Wanuer, Washilluk, Waateker n.k.

Wanajulikana kwa urefu na weusi wao.

Pamoja na kuwa wengi kati ya wakazi wa Sudan Kusini, wanapatikana pia Ethiopia, Uganda, Kenya na Tanzania[2][3].

Waserer wa Afrika Magharibi pia wana asili hiyo.

Upande wa dini, siku hizi walio wengi wanafuata Ukristo, wakizidi kuacha Dini asilia za Kiafrika.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Article: "Nilot", Encyclopædia Britannica
  2. "Nilotic". The American Heritage Dictionary of the English Language (toleo la 5th). Houghton Mifflin Harcourt Publishing. 2015. Iliwekwa mnamo 5 August 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Okoth, Assa; Ndaloh, Agumba (2006). Peak Revision K.C.P.E. Social Studies. Nairobi, Kenya: East African Educational Publishers. ku. 60–62. ISBN 978-9966-25-450-4. Iliwekwa mnamo 5 August 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]