Lorcán Ua Tuathail

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Laurenti O'Toole katika kioo cha rangi cha batizio ya kanisa kuu la Christ Church, Dublin.
Kioo kingine kinachomuonyesha.

Lorcán Ua Tuathail (pia: Laurence O'Toole; Castledermot,1128Eu, 14 Novemba 1180[1][2]) alikuwa askofu mkuu wa Dublin, Ireland[3], wakati kisiwa hicho kilipovamiwa na Wanormani.

Alichangia sana urekebisho wa Kanisa la huko[4] katika karne ya 12 na kupatanisha wenyeji na wavamizi.

Tarehe 11 Desemba 1225 alitangazwa na Papa Honorius III kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Novemba[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Butler, Rev. Alban, "St. Lawrence, Confessor, Archbishop Of Dublin", The Lives or the Fathers, Martyrs and Other Principal Saints, Vol. III". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-16. Iliwekwa mnamo 2018-02-06. 
  2. Grattan-Flood, William. "St. Lawrence O'Toole." The Catholic Encyclopedia. Vol. 9. New York: Robert Appleton Company, 1910. 20 Feb. 2013
  3. "St. Lawrence O'Toole" Archived 18 Novemba 2012 at the Wayback Machine., Catholic News Agency
  4. "Dublin Diocese Jubilee Resource Material". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-03. Iliwekwa mnamo 2018-02-06. 
  5. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.