Papa Honorius III
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Honorius III (1148 – 18 Machi, 1227) alikuwa papa kuanzia 18 Julai, 1216 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Cencio Savelli. Alimfuata Papa Innocent III.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Honorius III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
