Jens Stoltenberg
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jens Stoltenberg (amezaliwa 16 Machi, 1959) ni mwanasiasa wa Kinorwei, na ni Waziri Mkuu wa Norwei tangu oktoba 2005. Yeye alikuwa pia Waziri Mkuu tangu mwaka 2000 mpaka mwaka 2001. Yeye ni mbunge kutoka Oslo tangu mwaka 1993, na ni kiongozi wa Arbeiderpartiet (Pati ya Wafanyakazi) tangu mwaka 2002. Kabla Stoltenberg amekuwa Waziri Mkuu Kjell Magne Bondevik.