Itende

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Itende
Kata ya Itende is located in Tanzania
Kata ya Itende
Kata ya Itende

Mahali pa Itende katika Tanzania

Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89000°S 33.43000°E / -8.89000; 33.43000
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 5,226

Itende ni kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Itende ni kata iliyozaa kata za Kalobe na Iwambi.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 5,226 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,490.[2] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53112.

Wakazi wa kata hii ni Wasafwa wakichanganyikana kidogo na Wandali na Wanyakyusa.

Shughuli zinazofanyika ni kilimo na biashara. Pia kuna maeneo ya starehe.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya MC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-14.
Kata za Jiji la Mbeya - Tanzania

ForestGhanaIdudaIganjoIganzoIgawiloIlemiIlombaIsangaIsyesyeItaganoItendeIteziItijiIwambiIyelaIyungaIziwaKalobeMaangaMabatiniMaendeleoMajengoMbalizi RoadMwakibeteMwasangaMwasenkwaNondeNsalagaNsohoNzovweRuandaSindeSisimbaTembelaUyole


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Itende kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.