Mabatini (Mbeya mjini)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kata ya Mabatini | |
| Soko Matola kwenye kata ya Mabatini (Mbeya) mnamo Oktoba 2007 | |
| Mahali pa Mabatini katika Tanzania | |
| Anwani ya kijiografia: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89°S 33.43°E | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Mbeya |
| Wilaya | Mbeya Mjini |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 6,602 |
Mabatini ni jina la kata ya Wilaya ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 6,602 waishio humo.[1]
Eneo la Mabatini iko kati ya kitovu cha kale cha Mbeya na kitovu kipya kwenye eneo la Foresti. Soko Matola pamoja na shule ya sekondari ya Meta ni sehemu ya Mabatini.
Marejeo [hariri]
- ↑ 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Rudishwa juu ya 2008-08-18.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mabatini (Mbeya mjini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Mbeya Mjini - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Foresti • Ghana • Iduda • Iganjo • Iganzo • Igawilo • Ilemi • Ilomba • Isanga • Isyesye • Itagano • Itende • Itezi • Itiji • Iwambi • Iyela • Iyunga • Iziwa • Kalobe • Maanga • Mabatini • Maendeleo • Majengo • Mbalizi Road • Mwakibete • Mwansekwa • Mwansanga • Nonde • Nsalaga • Nsoho • Nzovwe • Ruanda (Mbeya) • Sinde • Sisimba • Tembela • Uyole |
||