Frankfort, Kentucky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Frankfort
Ikulu ya Kentucky
Ikulu ya Kentucky
Frankfort is located in USA
Frankfort
Frankfort
Mahali pa mji wa Frankfort katika Marekani
Coordinates: 38°11′50″N 84°51′47″W / Expression error: Unexpected < operator Expression error: Unexpected < operator / Expression error: Unexpected < operator; Expression error: Unexpected < operator
Nchi Marekani
Jimbo Kentucky
Kitongoji Franklin
Idadi ya wakazi (2000)
 - Mji 27,741
Website: www.CityofFrankfortKY.com

Frankfort ni jina la mji mkuu wa jimbo la Kentucky nchini Marekani. Umepata kuwa mji mkuu tangu mnamo tar. 8 Desemba, 1792. Mji huu upo nga'mbo ya Mto Kentucky. Hii ndiyo sababu iliyopelekea mji huu kuitwa jina hili, kwa sababu ardhi yake ilikuwa ikimilikiwa na mwanzilishi Stephen Frank. Awali uliitwa "Frank's Ford", lakini baada ya muda mchache jina likabadilishwa na kuwa Frankfort. Takriban watu 27,741 wanaishi mjini hapa. Na huu ni mji mkuu wa tano kwa udogo katika orodha ya miji mikuu ya majimbo ya Marekani.

[hariri] Viungo vya Nje



Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Flag USA template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Frankfort, Kentucky kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.