Salt Lake City, Utah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Salt Lake City, Utah


Salt Lake City
Nchi Marekani
Jimbo Utah
Wilaya Salt Lake
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 180,651
Tovuti:  www.co.slc.ut.us

Salt Lake City ndiyo mji mkuu katika jimbo la Utah. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.1 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1288 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Salt Lake City, Utah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.