Topeka, Kansas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Topeka


Topeka, Kansas
Topeka, Kansas is located in Marekani
Topeka, Kansas
Topeka, Kansas

Mahali pa mji wa Topeka katika Marekani

Majiranukta: 39°03′21″N 95°41′22″W / 39.05583°N 95.68944°W / 39.05583; -95.68944
Nchi Marekani
Jimbo Kansas
Kitongoji Shawnee
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 122,377
Tovuti:  www.topeka.org
Mahali pa Topeka katika Kansas na Shawnee County

Topeka ni jina la mji mkuu wa jimbo la Kansas nchini Marekani. Mnamo mwaka wa 2007, idadi ya wakazi wanaoishi mjini hapa ilikadiriwa kuwa ni 122,647. Mji ulianzishwa mnamo tar. 5 Desemba 1854. Mji upo ft 945 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Official sites



Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Topeka, Kansas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.