Filipo wa Gortina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Filipo wa Gortina (alifariki Ugiriki, 180) alikuwa askofu wa Gortina, katika kisiwa cha Krete, ambaye alieneza na kutetea kwa nguvu hata kwa maandishi Kanisa lake dhidi ya chuki ya Wapagani na dhidi ya hila za uzushi [1] [2].

Habari zake tunazipata kutoka kwa mwanahistoria Eusebi wa Kaisarea, kwa Denis wa Korintho na kwa Jeromu.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Eusebius, Hist. eccl., IV., xxiii. 5; Eng. transl., NPNF, 2 ser., i. 201
  • New Schaff-Herzog Encyclopedia of Religious Knowledge, Vol. IX: Petri – Reuchlin
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.