Burgenland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Burgenland (kwa Kijerumani pia: Burgenland) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 294.316 kwenye eneo la km² 3.965.

Mji mkuu ni Eisenstadt.

Waziri mkuu ni Hans-Peter Doskozil (SPÖ).

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Burgenland limepakana na nchi za Slovakia, Hungaria na Slovenia na majimbo ya Austria Chini na Steiermark.

Eisenstadt ndio jiji kubwa tu lenye idadi ya wakazi zaidi ya 14,816.

Leitha, Wulka ndiyo mito ya Burgenland

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tovuti za Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Majimbo ya Austria
Austria Chini (Niederösterreich)Austria Juu (Oberösterreich)BurgenlandKarinthia (Kärnten)SalzburgSteiermarkTirolVienna (Wien)Vorarlberg
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Burgenland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.