Austria Chini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Austria Chini katika Austria
Austria ya Chini (Kijerumani: Niederösterreich) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 1.608.590 kwenye eneo la 19.177 km². Mji mkuu ni Sankt Pölten. Waziri mkuu ni Erwin Pröll (ÖVP).
Jiografia [hariri]
Austria Chini imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Austria Juu, Steiermark, Burgenland na Vienna.
Miji mikubwa ni pamoja na Sankt Pölten na Wiener Neustadt.
Danubi na Morava ni mito muhimu zaidi.
Picha za Austria Chini [hariri]
-
Monasteri ya Melk
Tovuti za Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Austria Chini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|
|
|---|---|
| Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg | |