Steiermark
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Steiermark katika Austria
Steiermark (Kislovenia: Štajerska) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi milioni 1,2 kwenye eneo la 16.401 km². Mji mkuu ni Graz. Waziri mkuu ni Franz Voves (SPÖ).
Jiografia [hariri]
Steiermark imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Karinthia, Salzburg, Austria Juu, Austria Chini na Burgenland.
Miji mikubwa ni pamoja na Graz na Leoben.
Mur na Enns ni mito muhimu zaidi.
Picha za Steiermark [hariri]
Tovuti za Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Steiermark kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|
|
|---|---|
| Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg | |