1598
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 15 | Karne ya 16 | Karne ya 17 | ►
◄ | Miaka ya 1560 | Miaka ya 1570 | Miaka ya 1580 | Miaka ya 1590 | Miaka ya 1600 | Miaka ya 1610 | Miaka ya 1620 | ►
◄◄ | ◄ | 1594 | 1595 | 1596 | 1597 | 1598 | 1599 | 1600 | 1601 | 1602 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1598 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
- 13 Aprili - Mfalme Henri IV wa Ufaransa atoa tamko la Nantes linalowapa Waprotestant haki sawa na Wakatoliki nchini Ufaransa na kumaliza vita ya kidhehebu.
- Agosti: Wapinzani wa Ueire wanashinda jeshi la Uingereza katika vita ya miaka tisa kati ya Ueire na Uingereza.
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1598 MDXCVIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5358 – 5359 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1590 – 1591 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1047 ԹՎ ՌԽԷ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1007 – 1008 |
| Kalenda ya Kiajemi | 976 – 977 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1653 – 1654 |
| - Shaka Samvat | 1520 – 1521 |
| - Kali Yuga | 4699 – 4700 |
| Kalenda ya Kichina | 4294 – 4295 丁酉 – 戊戌 |
Waliofariki[hariri]
- 13 Septemba - Mfalme Filipo II wa Hispania (* 1526)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: