Nenda kwa yaliyomo

Zuchu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muundo au mpangilio wa makala hii hailingani na masharti ya makala ya wikipedia. Inahitaji kuangaliwa upya.

Angalia mpangilio wa maandishi yake, umbo la vichwa na viungo ndani yake. Isipopangiliwa upya makala inaweza kufutwa.


Angalia ukurasa wa majadiliano! (Kibonye cha pili hapo juu kwenye dirisha hili)

Zuhura Othman Soud (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Zuchu; alizaliwa 22 Novemba 1993[1]) ni mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo na msanii wa kurekodi wa Kitanzania aliezaliwa Zanzibar. Amesainiwa chini ya lebo ya WCB Wasafi Records chini ya uongozi wa Diamond Platnumz. [2] [3][4]

Alitunukiwa tuzo ya silver play button na mtandao wa kijamii wa Youtube kwa kuwa msanii wa kwanza wa kike Afrika mashariki kwa kufikisha wafuasi zaidi ya 100,000 ndani ya wiki moja.[5]

Katika wiki ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa, Zuchu alitunukiwa tuzo ya msanii bora chipukizi wa mwaka 2020 na All Africa Music Awards|AFRIMMA.[6]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Zuchu amezaliwa kwenye familia ya wanamuziki . Ni binti wa mwanamuziki wa taarabu anayefahamika kwa jina la Khadija Kopa.[7][8][9][10] Zuchu alianza kuimba akiwa na umri mdogo na baadae kushirikiana na mama yake Khadija Kopa katika wimbo unaofahamika kama Mauzauza [11]

Zuchu alitambulika rasmi kwenye Tasnia ya muziki mnamo Aprili 2020. [12] Mpaka sasa ana albamu moja na alichaguliwa kushiriki mashindano ya kuwania tuzo ya MTV, MAMA awards ya mwaka 2021. Kwenye mashindano hayo, Zuchu alipangwa katika kipengele cha 'best breakthrough act', akikabiliana na ushindani kutoka kwa Elaine na Focalistic wa Afrika Kusini na Tems na Omah Lay wote kutoka Nigeria, John Blaq (Uganda) na Sha Sha (Zimbabwe). Mpaka sasa ana albamu moja na alichaguliwa kushiriki mashindano ya kuwania tuzo ya MTV, MAMA awards ya mwaka 2021. Kwenye mashindano hayo, Zuchu amepangwa katika kipengele cha 'best breakthrough act', anakabiliwa na ushindani kutoka kwa Elaine na Focalistic wa Afrika Kusini na Tems na Omah Lay wote kutoka Nigeria, John Blaq (Uganda) na Sha Sha (Zimbabwe).[13]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]

Zuchu aliachia albamu ya kwanza iliyotambulika kama “ I am Zuchu “ mwaka 2020 ikiwa na nyimbo 7. [14] Albamu yake ndiyo iliyosikilizwa na watu wengi zaidi nchini Tanzania kwa mwaka 2020 na vidio za nyimbo zake zimetazamwa na mamilioni ya watu.[15]

Nyimbo zake

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Nyimbo Albamu
2020
"Hakuna Kulala" I Am Zuchu EP
"Nisamehe"
"Kwaru"
"Wana"
"Raha"
"Ashua"(feat. Mbosso)
"Tanzania ya Sasa"
"Shangilia"
"Mauzauza"(feat. Khadija Kopa)
"Cheche" (feat. Diamond Platnumz)
"Litawachoma" (feat. Diamond Platnumz)
"Hasara"
"Nobody" (feat. Joeboy)
2021
"Sukari"
  1. "Zuchu – YouTube". www.youtube.com. Iliwekwa mnamo 6 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Zuchu Bio – Age, Career, Education, Songs, WCB, Boyfriend, Net Worth". www.eafeed.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 3 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Zuchu is the new face on Diamond's record label WCB". The Citizen. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Zuchu set to rise under the auspices of Diamond Platnumz". Music in Africa (kwa Kiingereza). 17 Julai 2020. Iliwekwa mnamo 6 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Zuchu set to rise under the auspices of Diamond Platnumz". Music in Africa (kwa Kiingereza). 17 Julai 2020. Iliwekwa mnamo 6 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Check out full list of winners at the 2020 AFRIMMA Awards". Pulse Live Kenya (kwa American English). 16 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 24 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Diamond's new signee Zuchu features her mum, legendary Khadija Kopa, in new song days after joining WCB". TUKO. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-02. Iliwekwa mnamo 10 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Kati ya wasanii hawa mmoja atajiunga WCB". Mwananchi. Iliwekwa mnamo 10 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Diamond's new signee Zuchu features her mum, legendary Khadija Kopa, in new song days after joining WCB". TUKO. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-02. Iliwekwa mnamo 10 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "Kati ya wasanii hawa mmoja atajiunga WCB". Mwananchi. Iliwekwa mnamo 10 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "ZUCHU – Biography – Age, Family, Early life, Record Label, Music, Net Worth". Daily4mative. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-04. Iliwekwa mnamo 28 Juni 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. "Why WCB's new signee Zuchu is a force to reckon with as she unveils her EP 'I am Zuchu'". Pulselive. Iliwekwa mnamo 10 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-25. Iliwekwa mnamo 2021-03-06.
  14. "Zuchu: I Am Zuchu". deezer.com.
  15. https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/entertainment/zuchu-named-on-bbc-s-10-african-musicians-to-look-out-for-in-2021-3245486
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zuchu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.