Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Rweru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ziwa Rweru ni ziwa linalopatikana nchini Burundi (mkoa wa Kirundo) na Rwanda.

Maji huingia katika mto Kagera na hatimaye kuelekea Mto Naili na Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Rweru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.