Nenda kwa yaliyomo

Zico

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zico.

Arthur Antunes Coimbra (anajulikana zaidi kama Zico; alizaliwa Rio de Janeiro, Machi 3, 1953) ni kocha wa Brazil na mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu, ambaye alicheza kama kiungo mshambuliaji.

Mara nyingi huitwa Pelé Mweupe, alikuwa mchezaji mwenye ubunifu na pia ni mmoja wa wachezaji bora wa nyakati zote.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zico kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.