Zebu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zebu
Zebu nchini Uhindi
Zebu nchini Uhindi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Bovinae (Wanyama wanaofanana na ng'ombe)
Jenasi: Bos (Ng'ombe)
Linnaeus, 1758
Spishi: B. primigenius
(Bojanus, 1827)
Nususpishi: B. p. indicus
(Linnaeus, 1758)

Zebu au ng'ombe wa Uhindi ni aina ya ng'ombe wenye kustahimili hali ya ukame na pia wanafanywa kama maksai katika kilimo cha mazao mbalimbali.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zebu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.