Zaynab Matitu Vulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Zaynab Matitu Vulu (amezaliwa mnamo mwaka 1969) katika kijiji cha Mlongazi wilayani Kisarawe mkoani Pwani ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017