Yvonne Magwas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yvonne Magwas (alizaliwa Novemba 28, 1979 huko Rodewisch Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ujerumani ) ni mwanasiasa wa Ujerumani wa Chama cha Kidemokrasia cha Kikristo (CDU) . [1] Mwanachama wa Bundestag ya Ujerumani tangu 2013, amekuwa Makamu wa Raisi hadi kufikia Oktoba 2021. [2]

Kazi ya kisiasa[hariri | hariri chanzo]

Magwas alijiunga na Junge Union (eng.: Young Union), Ni shirika la vijana la Christian Democratic Union of Germany (CDU) na kuwa mwanachama wa CDU mwaka wa 2001. Aliwahi kuwa mwenyekiti wa wilaya wa Junge Union Vogtland (2001-2006) na mjumbe wa bodi ya Junge Union huko Saxony (2003-2008). Kufikia 2008, alikuwa naibu mwenyekiti wa wilaya wa CDU Vogtland.

Mwaka wa 2003, Magwas alichaguliwa kuwa Diwani wilaya ya Vogtland, na akatekeleza majukumu hayo hadi 2009 na 2005.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yvonne Magwas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Magwas, Yvonne."Biography"
  2. German Bundestag."Vice-/Presidents of the German Bundestag as of 2021"