Nenda kwa yaliyomo

Yvonne Daniels

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yvonne Daniels
Amezaliwa Yvonne Daniels
16 Septemba 1937
Florida
Amekufa 21 Juni 1991
Kazi yake Mwandishi wa habari
Kipindi kuanzia mwaka 1960 hadi mwaka 1991

Yvonne Daniels (16 Septemba 1937Juni 21, 1991) alikuwa mwandishi wa habari kwenye radio wa nchini Marekani aliyetangaza vipindi katika mji wa Chicago kuanzia mwaka 1960 hadi mwaka 1991. Maandishi ya kooze Yvonne alikuwa mwanachama wa chama wa waandishi wanawake cha first all-woman radio team mwaka 1967.

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Yvonne alizaliwa mnamo mwaka 1937 katika jimbo la Florida, akiwa mtoto wa mwimbaji Billy Daniels, alianza kuimba na kutangaza akiwa katika umri mdogo [1] Yvonne alisoma katika shule ya Stanton High School na chuo kikuu cha Tuskegee University.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "'First Lady Of Chicago Radio,' Jazz Expert Yvonne Daniels, 53", Chicago Tribune, 24 June 1991. Retrieved on 2021-05-23. Archived from the original on 2015-08-01. 
  2. "Billy Daniels' Daughter Doing OK on Her Own", Pittsburgh Courier, 20 July 1957, p. 6 Courier Magazine Section. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yvonne Daniels kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.