Nenda kwa yaliyomo

Yuna Matsubara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yuna Matsubara (alizaliwa 24 Januari 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa klabu ya INAC Kobe Leonessa inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1][2]

  1. "Yuna Matsubara".
  2. "Scoresheet" (PDF). weleague.jp.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuna Matsubara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.