Nenda kwa yaliyomo

Yuki Koike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yuki Koike (小池 祐貴, Koike Yūki, alizaliwa 13 Mei 1995) ni mwanariadha nchini Japani ambaye alishinda medali ya dhahabu katika mita 200 kwenye michezo ya Asia mwaka 2018.[1]

  1. "Yuki Koike".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuki Koike kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.