Nenda kwa yaliyomo

Yuka Kado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yuka Kado (alizaliwa 19 Juni 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani. Yuka alicheza kama kiungo wa timu ya taifa ya japani pamoja na klabu ya wanawake ya Bunnys Kyoto SC.[1][2]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuka Kado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.