Yudea
Mandhari
Yudea (kwa Kilatini IVDAEA, kwa Kiebrania יהודה, Yehûḏāh au Yehuda, kwa Kigiriki Ἰουδαία) ni jina la jimbo la Dola la Roma kuanzia mwaka 6 hadi 135 BK.
Iliunganisha Uyahudi wenyewe, Samaria na Idumea chini ya liwali.
Asili ya jina ni kabila la Yuda, ambalo kuanzia karne ya 8 KK lilibaki karibu peke yake kati ya makabila 12 ya Israeli.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yudea kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |