Nenda kwa yaliyomo

Youssoufa Moukoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moukoko akichezea Borussia Dortmund mnamo 2023

Youssoufa Moukoko (alizaliwa 20 Mei 2004)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Youssoufa Moukoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.