Youri Djorkaeff

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Youri Raffi Djorkaeff (alizaliwa 9 Machi 1968) alikuwa mchezaji wa kimataifa wa soka kutoka Ufaransa ambaye alicheza kama kiungo mshambuliaji au kama mshambuliaji . Pamoja na timu ya taifa ya Ufaransa, Djorkaeff aliisaidia kushinda Kombe la Dunia la FIFA 1998 na Euro 2000.

Yeye ni mwana wa mchezaji wa zamani Jean Djorkaeff.

Kwa sasa anaendesha Foundation ya Youri Djorkaeff.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Youri Djorkaeff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.