You're Still the One

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“You're Still the One”
“You're Still the One” cover
Single ya Shania Twain
kutoka katika albamu ya Come on Over
B-side "Don't Be Stupid (You Know I Love You)"
(Toleo la kimataifa)
Imetolewa Januari 27, 1998 (Marekani)
Februari 16, 1998 (Uingereza)
Muundo
Imerekodiwa 1997
Aina
Urefu 3:19
Studio Mercury Nashville
Mtunzi
Mtayarishaji Robert John "Mutt" Lange
Certification 2× Platinum (U.S.)
Platinum (Australia)
Mwenendo wa single za Shania Twain
"Don't Be Stupid (You Know I Love You)"
(1997)
"You're Still the One"
(1998)
"From This Moment On"
(1998)

"You're Still the One" ni jina la kutaja wimbo uliotungwa shirika na kurekodiwa na mwimbaji wa muziki wa country kutoka nchini Kanada - Shania Twain. Wimbo ulitolewa mnamo mwezi wa Januari 1998 ukiwa kama wimbo wa tatu kutolewa kama single ya miondoko ya country kutoka katika albamu yake ya Come on Over, huku ukiwa kama wimbo wa kwanza kupagawisha katika soko la kimataifa.

Wimbo umeingia nafasi ya pili katika chati za Billboard Hot 100 ukiufanya kuwa wimbo wa kwanza wa Twain kuingia katika chati hizo. Hata hivyo, haujatamba sana katika chati hizo, pamoja na hayo, bado kibao hiki hutazamiwa kama miongoni mwa vibao vya Twain ambavyo vimebamba balaa katika maredio yanayopiga country duniani.[1] Wimbo ulitungwa na Twain akiwa na Mutt Lange na kutayarishwa na Lange.

"You're Still the One" ulichaguliwa katika kategoria nne kwenye Grammy Awards mnamo 1999, huku ukishinda kategoria mbili tu. Ulishinda ukiwa kama Wimbo Bora wa Country na Mwimbaji Bora wa Kike wa Muziki wa Country na kupoteza Rekodi ya Mwaka na Wimbo wa Mwaka - badala yake Mkanada mwenzake , Celine Dion kachukua kwa ajili ya wimbo wake wa "My Heart Will Go On".[2]

Wimbo ulikuwa nafasi Na. 46 kwenye orodha ya VH1 ya "Nyimbo Bab-Kubwa 100 za Miaka ya '90s.[3]

Matoleo[hariri | hariri chanzo]

 • CD-Maxi
 1. "You're Still The One" (Single Version) (3:19)
 2. "(If You're Not in it For Love) I'm Outta Here!" (Mutt Lange Mix) (4:21)
 3. "You Win My Love" (Mutt Lange Mix) (3:54)
 4. "You're Still The One" (LP Version) (3:34)
 • U.S. CD Single
 1. "You're Still The One" (Radio Edit w/Intro) (3:34)
 2. "Don't Be Stupid (You Know I Love You)" (Remix) (3:37)
 • Europe CD Single
 1. "You're Still The One" (Single Version) (3:19)
 2. "You're Still The One" (Soul Solution Dance Mix) (4:03)
 • Canada CD-Maxi
 1. "You're Still The One" (Radio Edit w/Intro) (3:36)
 2. "You're Still The One" (Album Version) (3:32)
 3. "Don't Be Stupid (You Know I Love You)" (Dance Mix) (4:45)
 • Dance Mixes CD-Maxi
 1. "You're Still The One" (Soul Solution Radio Mix) (4:03)
 2. "You're Still The One" (Soul Solution Extended Club Mix) (8:42)
 3. "You're Still The One" (Kano Dub) (7:46)
 4. "You're Still The One" (Soul Solution Percapella Dance Mix) (3:34)
 5. "You're Still The One" (Radio Edit w/Intro) (3:34)

Matoleo rasmi[hariri | hariri chanzo]

 • Album Version (3:34)
 • Radio Edit (3:19)
 • International Version (3:34)
 • International Version Single Mix (3:19)
 • Soul Solution Radio Mix (4:03) (Also known as Soul Solution Dance Radio Edit)
 • Soul Solution Radio Edit (4:08) (appears on the UK single 'When')
 • Soul Solution Extended Club Mix (8:42)
 • Soul Solution Percapella Dance Mix (3:35)
 • Doug Beck Pleasure Dub (6:09)
 • Kano Dub (7:46)
 • Lenny B X-Mix (6:31)
 • Live from Still the One: Live from Vegas (3:35)
 • Live from Divas Live (3:37)
 • Duet with Brazilian singer Paula Fernandes, a Porglish version (3:30)

Chati na tunukio[hariri | hariri chanzo]

Chati za wiki[hariri | hariri chanzo]

Illegal chart entered Canadatopsingles|7 Illegal chart entered Canadaadultcontemporary|1 Illegal chart entered Canadacountry|1
Chati (1998) Nafasi
iliyoshika
Australia (ARIA)[4] 1
Belgium (Ultratop 50 Flanders)[5] 16
France (SNEP)[6] 51
Germany (Media Control AG)[7] 68
Ireland (Irish Singles Chart) 3
Netherlands (Mega Single Top 100)[8] 10
New Zealand (RIANZ)[9] 9
Switzerland (Schweizer Hitparade)[10] 26
UK Singles (The Official Charts Company)[11] 10
US Billboard Hot 100[12] 2
US Pop Songs (Billboard)[13] 3
US Country Songs (Billboard)[14] 1
US Adult Pop Songs (Billboard)[15] 6
US Adult Contemporary (Billboard)[16] 1

Toleo la Paula Fernandes

Chati (2014) Nafasi
iliyoshika
Brazil (Billboard Brasil Hot 100)[17] 14

Chati za mwisho wa mwaka[hariri | hariri chanzo]

Chati (1998) Nafasi
Australia ARIA Singles Chart[18] 9
Canada Adult Contemporary Tracks (RPM)[19] 10
Canada Country Tracks (RPM)[20] 9
Dutch Top 40[21] 12
US Billboard Hot 100[22] 3
US Country Songs (Billboard)[23] 24

Chati za mwishoni mwa muongo[hariri | hariri chanzo]

Chati (1990–1999) Nafasi
US Billboard Hot 100[24] 34
Dutch Top 40[25] 97

Tunukio[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Certification Table Top Kigezo:Certification Table Entry Kigezo:Certification Table Entry Kigezo:Certification Table Bottom

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Kigezo:BillboardURLbyName Billboard chart history
 2. "41st annual Grammy nominees", cnn, January 5, 1999. Retrieved on November 28, 2006. 
 3. VH1: 100 Greatest Songs of the '90s. VH1. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-04-07. Iliwekwa mnamo August 9, 2008.
 4. "Australian-charts.com – Shania Twain – You're Still the One". ARIA Top 50 Singles. Hung Medien. Retrieved January 13, 2012.
 5. "Ultratop.be – Shania Twain – You're Still the One" (in Dutch). Ultratop 50. Ultratop & Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved January 13, 2012.
 6. "Lescharts.com – Shania Twain – You're Still the One" (in French). Les classement single. Hung Medien. Retrieved January 13, 2012.
 7. "Kigezo:Singlechart/germanencode/Kigezo:Singlechart/germanencode/single Die ganze Musik im Internet: Charts, News, Neuerscheinungen, Tickets, Genres, Genresuche, Genrelexikon, Künstler-Suche, Musik-Suche, Track-Suche, Ticket-Suche - musicline.de" (in German). Media Control Charts. PhonoNet GmbH. Retrieved January 13, 2012.
 8. "Dutchcharts.nl – Shania Twain – You're Still the One" (in Dutch). Mega Single Top 100. Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved January 13, 2012.
 9. "Charts.org.nz – Shania Twain – You're Still the One". Top 40 Singles. Hung Medien. Retrieved January 13, 2012.
 10. "Shania Twain – You're Still the One swisscharts.com". Swiss Singles Chart. Hung Medien. Retrieved January 13, 2012.
 11. "Chart Stats – Shania Twain – You're Still the One" UK Singles Chart. Chart Stats. Retrieved January 13, 2012.
 12. "Shania Twain Album & Song Chart History" Billboard Hot 100 for Shania Twain. Prometheus Global Media.
 13. "Shania Twain Album & Song Chart History" Billboard Pop Songs for Shania Twain. Prometheus Global Media.
 14. "Shania Twain Album & Song Chart History" Billboard Country Songs for Shania Twain. Prometheus Global Media.
 15. "Shania Twain Album & Song Chart History" Billboard Adult Pop Songs for Shania Twain. Prometheus Global Media.
 16. "Shania Twain Album & Song Chart History" Billboard Adult Contemporary Songs for Shania Twain. Prometheus Global Media.
 17. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-01-06. Iliwekwa mnamo 2016-08-10.
 18. ARIA Charts – End of Year Charts – Top 100 Singles 1998. Iliwekwa mnamo December 28, 2011.
 19. RPM Top 100 Adult Contemporary Tracks of 1998. RPM (December 14, 1998). Iliwekwa mnamo July 14, 2013.
 20. RPM Top 100 Country Tracks of 1998. RPM (December 14, 1998). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-15. Iliwekwa mnamo July 14, 2013.
 21. Dutch top 40 – 1998. Iliwekwa mnamo July 5, 2011.
 22. Billboard Top 100 – 1998. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-03-09. Iliwekwa mnamo August 28, 2010.
 23. Best of 1998: Country Songs. Billboard. Prometheus Global Media (1998). Iliwekwa mnamo July 14, 2013.
 24. Geoff Mayfield (December 25, 1999). 1999 The Year in Music Totally '90s: Diary of a Decade – The listing of Top Pop Albums of the '90s & Hot 100 Singles of the '90s. Retrieved on October 15, 2010. 
 25. Dutch top 40 – deceniumlist 90's. Iliwekwa mnamo July 5, 2011.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]