Yohane Zhang Jingguang
Mandhari
(Elekezwa kutoka Yohane Zhang Jinggwang)
Yohane Zhang Jingguang (Fujingcun, 1878 hivi - Taiyuan, 9 Julai 1900) alikuwa mseminari Mfransisko wa Utawa wa Tatu aliyefia dini nchini mwake China wakati wa Uasi wa Mabondia.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 119.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Sala ya Kanisa ya Ki-fransisko - Benedictine Publications Ndanda - Peramiho, 1996, uk. 173-176
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |