Nenda kwa yaliyomo

Yinka Kudaisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Yinka kudaisi
Amezaliwa 25 Agost1975
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Yinka Kudaisi (alizaliwa 25 Agosti 1975) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye amecheza kama beki kwenye klabu ya wanawake ya Stars Pelican na timu ya taifa ya Nigeria katika michuano ya Olimpiki mnamo mwaka 2004.[1]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yinka Kudaisi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.