Yasmin (jina)
Mandhari
Usemi | jɑːsmiːn |
---|---|
Jinsia | Mwanamke |
Chanzo | |
Neno/jina | Kutoka neno la Kiajemi la Yasmini, ua la yas |
Majina mengine | |
Tahajia tofauti | Yasaman, Yasman, Yasamin, Yasemin, Yasameen, Yasmina, Yasmine, Yasmini Yasmeena, Yasmīn, Yasmīne, Yasmeen |
Yasmin ni jina la kike, na wakati mwingine hutumika kama jina la ukoo. Aina mbalimbali za tahajia hutumika kama Yasmini, Yasemin, Yasmeen, Yasmina, Yasmine, na Yassmin.
Yasmin (یاسمن) ni jina la Kiajemi linalotokana na jina la mmea fulani wenye maua.[1]
Jina la kwanza
[hariri | hariri chanzo]Yasemin
[hariri | hariri chanzo]- Yasemin Adar (aliyezaliwa 1991), mgombea wa michezo wa Kituruki
- Yasemin Begüm Dalgalar (aliyezaliwa 1988), mchezaji wa mpira wa kikapu wa Kituruki
- Yasemin Bradley, daktari wa kike wa Kituruki aliye na utaalamu wa lishe, pia mtangazaji wa televisheni na mwandishi
- Yasemin Can (aliyezaliwa 1996), mkimbiaji wa mbali wa Kituruki mwenye asili ya Kenya
- Yasemin Çegerek (aliyezaliwa 1977), mwanasiasa wa Uholanzi mwenye asili ya Kituruki
- Yasemin Dalkılıç (aliyezaliwa 1979), mwovodhaji wa Kituruki
- Yasemin Ecem Anagöz (aliyezaliwa 1998), mlenga mishale wa Kituruki
- Yasemin Güler (aliyezaliwa 1994), mchezaji wa mpira wa mikono wa Kituruki
- Yasemin Horasan (aliyezaliwa 1983), mchezaji wa mpira wa kikapu wa Kituruki
- Yasemin Kozanoğlu (aliyezaliwa 1978), mwigizaji na mwanamitindo wa Kituruki
- Yasemin Mori (aliyezaliwa 1982), mwanamuziki wa Kituruki
- Yasemin Saylar (aliyezaliwa 1990), mchezaji wa mpira wa kikapu wa Kituruki
- Yasemin Smit (aliyezaliwa 1984), mchezaji wa polo ya maji wa Uholanzi
- Yasemin Şahin (aliyezaliwa 1988), mchezaji wa mpira wa mikono wa Uturuki
- Yasemin Ustalar, bondia wa Kituruki
Jina la kati
[hariri | hariri chanzo]- Özlem Yasemin Taşkın (aliyezaliwa 1985), muogeleaji wa Kituruki
Yasmeen
[hariri | hariri chanzo]- Yasmeen Al Maimani, rubani wa kwanza wa kike kutoka Saudi Arabia
- Yasmeen Ghauri, mwanamitindo wa Kanada
- Yasmeen Hameed, diwani wa lugha ya kiurdu wa Pakistani
- Yasmeen Hanoosh, Mwanasayansi wa Iraki
- Yasmeen Ismail, mwigizaji wa Pakistani
- Yasmeen Khair, mchezaji wa mpira wa miguu wa Yordani
- Yasmeen Khan, mwigizaji wa Pakistani
- Yasmeen Khan, mchezaji wa kriketi wa Namibia
- Yasmeen Murshed, mwanasiasa wa Bangladesh
- Yasmeen Pir Mohammad Khan, mwanasiasa wa Pakistani
Yasmin
[hariri | hariri chanzo]- Yasmin (muziki) , DJ na mwimbaji wa Uingereza
- Yasmin Abbasey (aliyezaliwa 1950), jaji wa Pakistani
- Yasmin Abdulaziz (aliyezaliwa 1980), mwigizaji wa Misri
- Yasmin Aga Khan (aliyezaliwa 1949), mfadhili wa Pakistan wa Marekani
- Yasmin Ahmad (1958-2009), mwandishi wa filamu wa Malaysia
- Yasmin Alibhai-Brown (aliyezaliwa 1949), mwandishi wa habari wa Uingereza aliyezaliwa Uganda
- Yasmin Al-Khudhairi (aliyezaliwa 1994/1995), mwigizaji wa Uingereza
- Yasmin Bannerman (aliyezaliwa 1972), mwigizaji wa Uiingereza
- Yasmin Benoit (aliyezaliwa 1996), mwanamitindo na mwanaharakati wa Uingereza
- Yasmin Brunet (aliyezaliwa 1988), mwanamitindo wa Brazili
- Yasmin Evans (aliyezaliwa 1990), mtangazaji wa televisheni na redio wa Uingereza
- Yasmin K. (aliyezaliwa 1986), mwanamuziki wa muziki wa kijerumani
- Yasmin Kafai, profesa wa Ujerumani
- Yasmin Kwadwo (aliyezaliwa 1990), mwanariadha wa Ujerumani
- Yasmin Qureshi (aliyezaliwa 1963), mwanasiasa wa Uingereza
- Yasmin Ratansi (aliyezaliwa 1951), mwanasiasa wa Canada
- Yasmin Warsame (aliyezaliwa 1976), mwanamitindo wa Kanada mwenye asili ya Somalia
- Yasmin Yusoff, mwanamuziki wa Malaysia
- Yasmin Zahran (aliyezaliwa 1933), mwandishi na mwanaakiolojia wa Palestina
Yasmina
[hariri | hariri chanzo]- Yasmina Khadra (aliyezaliwa 1955), mwandishi wa Algeria
- Yasmina Siadatan (aliyezaliwa 1981), mfanyabiashara wa Uingereza mwenye asili ya Uingereza na Irani
- Yasmina Zaytoun (aliyezaliwa 2002), mshindi wa mashindano ya uzuri wa Lebanon
Yassmin
[hariri | hariri chanzo]- Yassmin Abdel-Magied, mwanaharakati wa Australia
- Yassmin Alers, mwigizaji wa Amerika
Jina la ukoo
[hariri | hariri chanzo]- Samina Yasmeen, profesa wa kipakistani
- Sabina Yasmin, mwanamuziki wa Bangladesh
- Farida Yasmin, mwandishi wa habari wa Bangladesh
- Farida Yasmin, mwanamuziki wa Bangladesh
- Nilufar Yasmin, mwanamuziki wa Bangladesh
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hanks, Patrick; Hardcastle, Kate; Hodges, Flavia (2006). A dictionary of first names. Oxford paperback reference (tol. la 2nd ed). Oxford: Oxford Univ. Press. ISBN 978-0-19-861060-1.
{{cite book}}
:|edition=
has extra text (help)