Xherdan Shaqiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Huyu ni Xherdan Shaqiri

Xherdan Shaqiri ni mchezaji wa soka wa Uswisi ambaye anacheza kama winga kwa klabu ya Liverpool na timu ya taifa yake ni Uswisi.

Alianza kazi yake katika klabu ya FC Basel, akiwa na mataji matatu ya Uswisi Super League, kabla ya kuhamia Bayern Munich, ambapo alipata heshima nane nyumbani na kimataifa licha ya kucheza mara kwa mara.

Huyu ni Xherdan Shaqiri akiwa CSKA-Bavaria

Mnamo Januari 2015, alihamia Inter Milan kwa ada ya 15,000,000, na miezi saba baadaye kwa Stoke City kwa rekodi ya klabu £ 12 milioni. Baada ya kushuka kwa Stoke city katika Ligi Kuu ya Uingereza mwaka 2018, Shaqiri alihamishwa Liverpool kabla ya msimu uliofuata.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Xherdan Shaqiri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.