Wissam Ben Yedder

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wissam Ben Yedder

Wissam Ben Yedder (amezaliwa Sarcelles, Île-de-France, 12 Agosti 1990) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Sevilla ya Hispania.

Kazi ya Klabu[hariri | hariri chanzo]

Toulouse[hariri | hariri chanzo]

Ben Yedder ni mtu wa asili ya Tunisia. Miongoni mwa marafiki wake wa utotoni alikuwEMO Riyad Mahrez.

Ben Yedder alianza kazi yake katika JA Alfortville ya ndani ya Championnat de France Amateur, kabla ya kuhamia Toulouse FC ya Ligue 1 mwaka 2010.

Tarehe 30 Julai 2016, Ben Yedder alisaini mkataba wa miaka mitano na klabu ya Hispania Sevilla FC.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wissam Ben Yedder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.