Wisława Szymborska
Mandhari
Wisława Szymborska (jina kamili: Maria Wisława Anna Szymborska; 2 Julai 1923 - 1 Februari 2012) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Poland.
Mwaka wa 1996 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wisława Szymborska kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |