Wino (Madaba)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Wino
Nchi Tanzania
Mkoa Ruvuma
Wilaya Wilaya ya Madaba
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 8,870

Wino ni [kata] ya Wilaya ya Madaba katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania, yenye postikodi namba 57210.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 8,870 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,298 waishio humo.[2]

Katika eneo la Wino lilitokea shirika la Ruvuma Development Association (RDA) lililokuwa utangulizi wa Ujamaa wa Kitanzania vijijini kabla ya operesheni vijiji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Madaba - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania

Gumbiro | Lituta | Mahanje | Matetereka | Matumbi | Mkongotema | Mtyangimbole | Wino

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wino (Madaba) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.