Wilaya ya Madaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kuhusu Madaba katika nchi ya Yordani angalia Madaba (Yordani)

Mahali pa Madaba katika Mkoa wa Ruvuma

Wilaya ya Madaba ni wilaya ya Mkoa wa Ruvuma kusini mwa Tanzania. Mwaka 2016 maeneo yake yalitengwa na Wilaya ya Songea Vijijini.

Mnamo mwaka 2015 wilaya ilikadiriwa kuwa na wakazi 52,005[1].

Wilaya ya Madaba iko upande wa kaskazini wa Mkoa wa Ruvuma; makao makuu si mbali na barabara ya B4.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/majimbo/MAJIMBOApril_Kisw.pdf Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara, April, 2016. Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wizara ya Fedha na Mipango
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Madaba - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania
Flag of Tanzania.svg

Gumbiro | Lituta | Mahanje | Mateteleka | Matumbi | Mkongotema | Mtyangimbole | Wino

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Madaba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.