William Shija

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dakta William Ferdinand Shija (28 Aprili, 1947 - 4 Oktoba, 2014) alikuwa mwanasiasa kutoka Tanzania.

Aliwahi kuwa mbunge wa CCM wa jimbo la Sengerema toka mwaka 1990 hadi 2005.

Alichaguliwa Katibu Mkuu katika kikao cha 52 cha Bunge la Jumuiya ya Madola linalowakutanisha wawakilishi 700 kutoka mabunge ya nchi zilizo wanachama wa Jumuiya ya Madola.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Shija kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.