William R. Callahan (padri)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Reed "Bill" Callahan (Septemba 5, 1931; Julai 5, 2010) alikuwa Mmarekani muumini wa Kanisa Katoliki ambaye harakati zake zilitaka mabadiliko kuhusu mafundisho ya Kanisa hilo juu ya kuwekwa wakfu kwa wanawake.[1] Kwa ajili hiyo aliondolewa katika shirika la Wajesuiti na upadri.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Martin, Douglas. "Rev. William R. Callahan Dies at 78; Dissident Who Challenged Vatican", The New York Times, 2010-07-11. (en-US) 
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.