White Mischief
Mandhari
Kwa maana nyingine, tazama White Mischief (festival).
White Mischief | |
---|---|
| |
Imeongozwa na | Michael Radford |
Imetungwa na | James Fox (novel) Michael Radford Jonathan Gems |
Imetaarishwa na | Simon Perry |
Nyota | Greta Scacchi Charles Dance Joss Ackland Sarah Miles John Hurt Alan Dobie |
Muziki na | George Fenton |
Imehaririwa na | Tom Priestley |
Muda wake | 107 min. |
Imetolewa tar. | 1987 |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
Lugha | Kiingereza |
White Mischief ni filamu ya 1987 ambayo inaigiza kuhusu matukio ya Kesi ya Mauaji ya Happy Valley nchini Kenya mnamo 1941, wakati Sir Henry "Jock" Delves Broughton alishtakiwa na kuhukumiwa kwa mauaji ya Josslyn Hay, Earl of Erroll.
Filamu hii ilielekezwa na Michael Radford akiangazia kitabu kilichatungwa na mwandishi wa habari wa Sunday Times, James Fox (Mwanzoni kilifanyiwa utafiti pamoja na Cyril Connolly kwa makala ya Desemba 1969) [1]
Orodha ya Wahusika
[hariri | hariri chanzo]- Greta Scacchi - Lady Diana Broughton
- Joss Ackland - Sir Henry "Jock" Delves Broughton, Baronet Broughton
- Charles Dance - Josslyn Hay, Earl of Erroll
- Sarah Miles - Alice de Janzé
- Geraldine Chaplin - Nina Soames
- Ray McAnally - Morris
- Murray Head - Lizzie
- John Hurt - Gilbert Colvile
- Trevor Howard - Jack Soames
- Susan Fleetwood - Lady Gwladys Delamere
- Catherine Neilson - Lady June Carberry
- Hugh Grant - Hugh Cholmondeley
- Alan Dobie - Sir Walter Harragin
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ White Mischief: The Murder of Lord Erroll, James Fox, Vintage Books, 1998, ISBN 0394756878
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- White Mischief at the Internet Movie Database
- The conclusive end to the true events from a Daily Mail article dated 11 Mei 2007 - [1]
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu White Mischief kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |