Nenda kwa yaliyomo

Wesley Willis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wesley Willis
Wesley Lawrence Willis mnamo Oktoba 2000
Wesley Lawrence Willis mnamo Oktoba 2000
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Wesley Lawrence Willis
Amezaliwa 31 mei 1963
Asili yake Chicago, Illinois, U.S.
Amekufa 21 Agosti 2003 (umri 40)
Aina ya muziki kurap
Kazi yake Msanii
mwimbaji
mtunzi
Tovuti Wesley Willis on Alternative Tentacles


Wesley Lawrence Willis (31 Mei 1963 - 21 Agosti 2003) alikuwa mwimbaji, msanii na mtunzi kutoka nchini Marekani. Akitambuliwa kuwa na ugonjwa wa skizofrenia mnamo mwaka 1989, Willis alianza kazi kama mtunzi wa nyimbo katika utamaduni wa muziki wa nje. Nyimbo za Willis kwa kawaida zinaimbwa katika mtindo wa kurap, na wakati mwingine huimba kwa mtindo wa punk bendi. Wesley alitunga wimbo wa ajabu, wa kuchekesha, na wakati mwingine usio wa aibu ulioimbwa na kurekodiwa kwa kutumia Teknolojia ya KN kifaa kilichounganishwa ndani ya gari. Nyimbo zake zinazungumzia mada mbalimbali, ikiwa ni pamoja na magonjwa ya akili na uteuzi wa makampuni ambayo ilikuwa mada maarufu zaidi.[1][2][3]

Wesley Lawrence alipata mashabiki wengi mnamo 1990, baada ya kutolewa kwa albamu yake ya Greatest Hits mwaka 1995 kwenye studio ya Alternative Tentacles. Jello Biafra alitayarisha orodha ya nyimbo.[2][3] Pamoja na kundi kubwa la bendi ya muziki wa kujitegemea mnamo mwaka 1990.[3] Alikuwa msanii wa kujitegemea kwa muda mrefu kabla ya kuanza kujihusisha na muziki, na alitoa mamia ya michoro maridadi yenye rangi mbalimbali[3]nyingi kati ya hizo zikionyesha mitaa ya Chicago na mara nyingi alikuwa akiuza viatu barabarani kwa bei ya dola 20 hadi 40.[1]

Pamoja na kazi yake ya usanii, Willis ameshawishi vyombo mbalimbali vya habari. Kwa mfano, kampuni ya programu za muziki ya Nullsoft ambayo ilinukuu baathi ya maneno katika nyimbo ya Willis "Whip the Llama's Ass".[4][5]

  1. 1.0 1.1 "Wesley Willis's Jourl=https://web.archive.org/web/20131004231454/http://wesleywillissjoyrides.com/WesleyWillisBio.htm". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 4, 2013. Iliwekwa mnamo 2022-03-15. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 "Bands". Alternative Tentacles. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 19, 2006. Iliwekwa mnamo Novemba 21, 2013. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 3.2 3.3 "Say Rah! Discussing the Daddy of Rock n' Roll with the Directors of "Wesley Willis's Joy Rides"". Y Marks the Spot. Julai 31, 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 3, 2019. Iliwekwa mnamo Novemba 21, 2013. {{cite web}}: |archive-date= / |archive-url= timestamp mismatch; Desemba 9, 2013 suggested (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. DEMO.MP3 15,592 bytes, 32 kbit/s, 22 kHz, recorded in "1997" "Exclusively for Nullsoft" by JJ McKay. Voice only, no music stinger.
  5. Kushner, David (Januari 13, 2004). "The World's Most Dangerous Geek". Rolling Stone. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 21, 2007. Iliwekwa mnamo Julai 3, 2010. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)