Werner
Mandhari
Werner ni jina la Kigermanik ambalo ni kawaida hasa katika Ujerumani- Zamani iliandikwa Wernher kwa maana "anayeonya jeshi". Hutumiwa kama jina la familia na jina la kibinafsi.
- Werner von Siemens
- Werner Buchholz
- Werner Schuster (mwanasiasa)
- Werner Arber
- Alfred Werner
- Mlima Werner
- Timo Werner
- Werner Forssmann
- Werner Heisenberg