Werner Buchholz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Werner Buchholz (24 Oktoba 192211 Julai 2019) alikuwa mwanasayansi wa Kijerumani. Baada ya kukua, Buchholz alihamia Kanada na kisha Marekani. Alifanya kazi International Business Machines (IBM) huko New York. Mnamo mwezi Juni 1956, alibuni neno "byte" kwa kitengo cha habari za kidigitali.[1] Mnamo mwaka 1990, alitambuliwa kama painia wa kompyuta na Taasisi ya Wahandisi wa Umeme na Elektroniki.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Werner Buchholz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.