Nenda kwa yaliyomo

Wazeloti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Simoni Mkananayo, iliyochongwa na Hermann Schievelbein, huko Helsinki, Ufini.

Wazeloti (yaani "Wenye ari"[1][2]) walikuwa Wayahudi wa karne ya 1 BK (6-73 hivi) waliopigania uhuru wa nchi yao kutoka utawala wa Warumi.

Walianzishwa na Yuda Mgalilaya na kukoma katika vita vya kwanza vya Kiyahudi[3].

Maarufu kati yao ni Mtume Simoni (Lk 6:15; Mdo 1:13).

  1. The term "zealot", the common translation of the Hebrew kanai (קנאי, frequently used in plural form, קנאים, kana'im), means one who is zealous on behalf of God. The term derives from Greek ζηλωτής (zelotes), "emulator, zealous admirer or follower". Zealot, Online Etymology Dictionary
  2. Zelotes, Henry George Liddell, Robert Scott, "A Greek-English Lexicon", at Perseus
  3. "Josephus, Antiquities Book XVIII".
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wazeloti kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.