Watermelon Slim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William P. Homans III, (alizaliwa 1949) anajulikana kama "Watermelon Slim", ni mwanamuziki na mpiga gitaa wa nchini Marekani. William alijiunga na kundi la Northern Blues Music (Muziki wa Kaskazini) mjini Toronto, Ontario. William Homans amepata shahada ya kwanza ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Oregon na Chuo Kikuu cha Jimbo la Oklahoma.[1][2] [3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Taylor, David. "It's as easy to find the heart of America in the tin blues shacks of the Mississippi as it is in Washington's corridors of power", The Times, 13 April 2015, p. 28. 
  2. "Watermelon Slim Mixes Country, Blues, Rock on New CD 'Ringers'". VOA. Iliwekwa mnamo 18 January 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Wheeler, Brad. "Waist deep in alligators: Blues legend Watermelon Slim's done a lot of things most people shouldn't try.", The Globe and Mail, 17 April 2006, p. R1. 
  4. "The Musicians Atlas - 2007 Independent Music Awards Winners". 1 May 2009. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 May 2009. Iliwekwa mnamo 7 February 2019.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watermelon Slim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.