Nenda kwa yaliyomo

Warsame Shire Awale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Warsame Shire Awale ( 195129 Oktoba 2012) alikuwa mshairi mashuhuri wa Kisomali, mtunzi wa tamthilia na nyimbo. Aliuawa huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, na kuwa mwanahabari wa 18 kuuawa nchini humo mwaka 2012. [1] Wanamgambo wa Kiislamu Al-Shabaab (kundi la wanamgambo) wanaaminika kuwa walihusika na mauaji hayo. [2]

  1. "Famous Somali Poet and Radio Kulmiye humorist becomes 18th media worker to be killed this year", 31 October 2012. Retrieved on 31 October 2012. 
  2. "Somalia: Gunmen Assassinate A Somali Poetry Giant In Mogadishu", 30 October 2012. Retrieved on 31 October 2012. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Warsame Shire Awale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.