Walid Azaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Walid Azaro (Kiarabu: وليد أزارو‎; alizaliwa 11 Juni 1995) ni mchezaji wa soka wa Moroko anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ajman na timu ya taifa ya Moroko.[1]

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

Al Ahly[2]

  • Ligi Kuu ya Misri: 2017–18, 2018–19, 2019–20
  • Kombe la Misri: 2016–17
  • Super Cup ya Misri: 2018
  • Ligi ya Mabingwa wa Afrika 2019–20 mshindi wa pili: 2017, 2018

Binafsi[hariri | hariri chanzo]

  • Mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Misri: 2017–18

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walid Azaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.