Wale Watu
Mandhari
| Wale Watu | |||||
|---|---|---|---|---|---|
| Studio album ya Khadja Nin | |||||
| Imetolewa | 1992 | ||||
| Aina | Pop, afro-pop, ballad, soul | ||||
| Wendo wa albamu za Khadja Nin | |||||
|
|||||
"Wale Watu" ni jina la albamu ya pili kutolewa kutoka kwa msanii wa muziki wa pop na dansi kutoka nchini Burundi, Bi. Khadja Nin.[1]
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Hii ni orodha ya nyimbo katika albamu hii;
- Wale Watu
- Wale Watu (Instrumental)
- Rudiya